02.11.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Wauzaji wa mbao zenye dawa za kupaulia nyumba

TZS 800

Condition:

NEW

Description

Kwa ubora na uhakika wa nyumba yako karibu upaue kwa kutumia mbao zilizopikwa kwa dawa kutoka kwetu kwa bei nafuu sana, Pia tunatoa ushauri kwa wateja wetu ili waweze kufanya chaguzi sahihi juu ya manunuzi ya vifaa vya ujenzi kwa gharama nafuu Tupo.Buguruni Chama Dsm

Joshua

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam