image

28.01.2021Tanzania, Simiyu

TIBA YA UPUNGU WA NGUVU ZA KIUME

TZS 135 000

Description

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – CHANZO, DALILI & TIBA NA DR DANIEL UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba. Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa. Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoamaxresdefault (1) CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na; Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo Kuvuta sigala na unywaji wa pombe Uzito kupita kiasi na unene uliozidi Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi Kisukari Kuwa na mawazo na wasiwasi Matumizi ya madawa mbalimbali Umri hasa wazee Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili Kuwa na tatizo la kibofu Tabia za kujichua kwa mda mrefu Kutopata usingizi kamili Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni kama;3850378299001_5085141251001_5085119722001-vs Kuwahi kufika kileleni Kukosa hamu ya mapenzi Kushindwa kurudia tendo la ndoa Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa) Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na mengine Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi Balansi usito wako Usivute sigara Punguza au acha kunywa pombe Punguza mawazo Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9 Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi Kunywa maji ya kutosha ADVERTISEMENT REPORT THIS AD TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Wasiliana na mimi nikupatie ushauli na tiba asilia iliyo okowa ndoa za watu wengi bonyeza hapo chini kupata namba zangu

Daniel D.

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location