image

28.01.2021Tanzania, Tabora

TIBA YA PID

TZS 175 000

Description

Dalili Za Pelvic Inflammatory Disease(PID) Dalili za PID zinatofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine. Kwa baadhi ya wanawake dalili huwa mbaya na kwa wengine dalili huwa za kawaida, wakati mwingine wanawake hukaa na ugonjwa kwa muda mrefu bila kujua kutokana na kuchanganya dalili na magonjwa mengine.zifuatazo ni dalili zinazojotokeza zaidi kwa wanawake wengi Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto Sehemu za uke kuwa na ulaini sana Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ngono na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa Kuvurugika kwa hedhi Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani Maumivu wakati wa kukojoa Kupata maumivu wakati wa choo Kupata dalili za homa kama kizunguzungu, mwili kukosa nguvu, kukosa hamu ya kula na uchovu mwingi. Madhara Yanayosababishwa Na Maambukizi Kwenye Njia Ya Uzazi(PID) Maambukizi kwenye njia ya uzazi husababisha athari kubwa sana kwa mwanamke,kama tulivoona pale juu PID inaweza kusababisha ugumba na mimba kujishikiza mahali pasipo sahihi(ectopic pregnancy) tofauti na mfuko wa mimba. Kadiri unavoumwa zaidi PID ndivyo hatari ya kupata ugumba inavoongezeka. Mimba kutokea nje ya mfuko wa mimba ni ishu kubwa ya kiafya na inahitaji uangalizi mkubwa wa kidactari ili kuzuia kuvuja kwa damu na hatimae kupelekea kifo kwa mama. Madhara mengine ya PID ni Kupata majeraha kwenye mirija ya uzazi, majeraha yanaweza kutokea nje ama ndani, tatizo hili linaweza kuwa gumu kutibika na hutokea tu pale ambapo maambukizi hayakutibiwa kwa muda mrefu zaidi. Kuziba na kujaa maji kwa mrija ya uzazi(hydrosalpinx kutokana na majeraha ya tishu zake Maumivu ya tumbo ya muda mrefu husababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa na mwanamke kutofurahisa unyumba. Kuongezeka kwa hatari ya kupata matatizo mengine wakati wa ujauzito na kujifungua. Kama tulivokwisha kusoma kwamba PID huletekezwa kwa kiasi kikubwa na magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa vizuri (sexual transmitted diseases). Kwa hivo basi ni muhimu kufahamu dalili za magonjwa ya zinaa ambayo ni common sana kwenye jamii yetu kama gonorrhea(kisonono) na chlamydia. Ugonjwa wa Chylamidia ni ugonjwa wa zinaa unaowaathiri wake kwa wanaume na husambazwa kupitia uke, njia ya haja kubwa na pia ngono ya mdomo. MATIBABU KWA USHAULI NA TIBA WASILIANA NAMI KWA KUPIGA SIMU HAPO CHINI

Daniel D.

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location