Description
mzigo mpya umeingia na kantena kadhaa. Kama una uhitaji wa tairi za Gari KWASASA za size yeyote nicheki fasta, Kama hauhitaji kwasasa basi isevu post au namba yetu utatutafutaga. Tunauza Jumla kwa wenye Maduka ya kuuzia tairi na pia kwenye makampuni ya mabasi ya mikoani. Na kampuni za gari za Daladala. Bila kusahau tunauza pia rejareja. Kwa tairi bora na za uhakika basi Tucheki tupo Dar.