Details
Description
Shamba la Miti ya Mitiki (Tectona grandis) linauzwa. Lina ukubwa wa Ekari 100 na miti ina umri wa miaka 5. Lipo Rondo mkoa wa Lindi jirani na Ofisi za TFS . Umbali kutoka Dar mpaka Lindi ni 470KM na kutoka Lindi mpaka Shambani ni 40km na linafikika kwa mwaka mzima kwa gari aina zote. Bei ni 5,000,000/= kwa ekari . ukihitaji lote bei inapungua