09.05.2022Tanzania, Arusha
Description
Jipatie Matofali ya kuchoma bora na imara kwa ujenzi wa nyumba na jengo, tuna matofali ya kuchoma aina mbali mbali zenye ubora na uimara. Tunapatikana Njiro, Arusha Tanzania. Karibu Sana