Details
Description
Mashamba ya kilimo na ufugaji yanauzwa Bagamoyo na Mlandizi; Kidomole, Kilungwa, n.k. Nauza Kwanzia ekari moja Umbali kutoka rami ni kilometa 2, na kwingine tatu, nne hadi tano. Hazina mgogoro wowote Ukitaka kununua eneo kubwa utapata punguzo la bei. Ni ardhi nzuri sana yenye uwezo wa kuzalisha mazao ya kila aina