24.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Hereni (Ear Tags) kwaajili ya mbuzi, ng'ombe na nguruwe

TZS 95 000

Description

Hizi ni hereni (ear tags) kwaajili ya mbuzi, kondoo au nguruwe. Zinatumika kwaajili ya kutunza kumbukumbu za wanyama wako kwakuwa kila hereni ina namba yake, hivyo kila mbuzi utamtambua kwa namba yake. Zinakaa hereni mia moja kwenye mfuko wake ambapo zote pisi mia bei yake ni sh elfu tisini na tano tu. Tunapatikana Dar, tunakufikishia popote pale ulipo ndani ya Dar bure kabisa na kwa wale wa nje ya Dar tunatuma kwanjia ya basi. KARIBUNI SANA.

Fuga_kisasa

Member since 2017.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam