CategoriesJobsHealthcare

31.03.2021Tanzania, Arusha

gluzojoint capsules

TZS 67 500

Condition:

NEW

Description

JE UNAPATA CHANGAMOTO YA MIFUPA KUUMA,MAUMIVU YA VIUNGO ,NA MAUMIVU YA MAUNGIO BIDHAA ZA VIUNGO NA MIFUPA Tuna bidhaa hii iitwayo ARTHROEXTRA TABLETS Hii -Huongeza uteute (synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa -Huondoa naumivu ya maungio kama nyonga,magoti na mgongo n.k -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya (articulate cartilage) -Huzuia kulika kwa mifupa na maungio -Huondoa tatizo la athritis -Huongeza Glucose amine na Chrondroitin kwenye maungio Pia kuna ZAMINOCAL PLUS CAPSULES Hii -Mchanganyo wa Zinc,Calcium, magnezium na amino acidi(protini) -Huboresha mifupa na meno -Husaidia mfupa uliovunjika kupona haraka -Husaidia sana mfumo wa fahamu -Huwafaa watoto wanaochagua chakula kula vizuri -Huongeza hamu ya kula -Huwafaa sana wamama wajawazito kwani husaidia kupata mtoto na misuli ya ikulu kurejea kwa wepesi baada ya kujifungua. Pia kuna GLUZOJOINT-F -Huzuia maumivu ya viungo -Huzuia kulika kwa maungio -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya(artculate cartilage). Tunapatikana Arusha,Mbeya,Morogoro, Dodoma,Morogoro,Dar na nk

Nicky

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Arusha