CategoriesJobsHealthcare
image

02.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Dawa ya kuondoa ASIDI na GESI tumboni (GARLIC PEARL)

Negotiable

Description

GARLIC PEARL ni vidonge vya asili vya kitunguu thaumu kutoka nchini India vilivyoandaliwa kipekee kwa ajili ya kuboresha ufanisi wa utendaji kazi wa tumbo hasa mfumo mmeng'enyo wa chakula na kuondoa na kutibu changamoto za wanaosumbuliwa na kujaa gesi tumboni na asidi pamoja na kujisaidia choo kigumu, choo cha mbuzi au choo cha malenda lenda. Dawa hii itaboresha utendaji kazi wa tumbo na kukuacha huru kutokana na mkusanyiko wa gesi, acids ambazo zinaweza kusababisha uwezekano wa kupata vidonda vya tumbo na Bawasiri!

SWAHILI HERBS

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location