29.05.2021Tanzania, Other Location

BAWASILI BILA UPASUAJI

TZS 135 000

Description

Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa. A.KUNA AINA MBILI ZA BAWASIRI(HEMORRHOIDS) 1.Ya nje ya puru- Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huambatana na maumivu na muwasho katika sehemu hiyo.Mara nyingi mishipa hiyo ya damu(vena)hupasuka na damu huganda na kusababisha hali iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS kitaalamu. 2.Ndani ya puru/tupu/duburi-Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na haiambatani na maumivu hivyo kuwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili. Aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo; i.Bawasir kutotoka katika mahali pake(iliyosimama) ii.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia iii.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa na hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe. iv.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia. B.NINI KINASABABISHA BAWASIR ? Miongoni mwa visababishi vya bawasir ni; -Tatizo sugu la kuharisha -Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu -Uzito kupita kiasi(OBERSITY) -Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL SEX) -Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo. C.DALILI ZA BAWASIR -Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia CHEMATOZECHEZIA -Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa -Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi) -Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa. -Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha. -Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa. D.ATHARI ZA BAWASIR -Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA) -STRAGULATED HEMORRHOID -Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote. -Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini. -Kuathirika kisaikolojia -Kukosa hamu ya tendo la ndoa. -Kupungukiwa nguvu za kiume Call: kupata ushauri na matibabu tupigie Tunapatikana Arusha Dar es salaam Morogoro Dodoma Mbeya Mwanza Moshi na nk

Nicky

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Other Location