Details
Description
• Mahali: Manzese Argentina • Hadhi: kimerasimishwa • Matumizi: makazi • Ukubwa: mita za mraba (sqm) 300 • Nyaraka: leseni ya makazi • Bei: TZS 80,000,000 • Kupelekwa kuona: TZS 20,000 • Hakuna malipo ya kamisheni ya dalali . Tanzawise Estates Dar es Salaam . kipo kwenye eneo la kibiashara • kinafaa kwa uwekezaji • umeme na maji vipo . • Visit our listing to find more and different properties. • If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts