Details
Description
VIWANJA 9 VINAUZWA BUSWELU MTAA WA ILALILA -sifa za viwanja 👇👇👇 *viwanja vyote vimepimwa *matumizi ya viwanja ni makazi *umeme na maji vipo jirani *barabara nzuri ipo mpaka site *bei ni ml 3 kwa kila kiwanja kimoja *ruksa kununua kimoja au vyote *majirani wapo +call/sms/whatsapp 0743220097