Details
Description
SHAMBA LA EKARI 37 LINAUZWA NYANGUGE ✔ UMBALI TOKA BARABARA KUBWA YA LAMI YA MUSOMA ROAD NI MITA 600 TU ✔ BEI ML 60 ✔ SHAMBA LINAFAA KWA KILIMO NA UFUGAJI ✔ UMEME NA MAJI VIPO JIRANI NA BARABARA IPO YA KUFIKA MPAKA SHAMBANI NA INAPITIKA NYAKATI ZOTE ✔ UMBALI TOKA MWANZA MJINI 30KM