Details
Description
Hii ni nyumba kubwa yenye vyumba vitatu katika Kiwanja chenye ukubwa wa SQM.500. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ipo MAKABE (MBEZI) Wastani wa kilomita 3 kutoka Barabara ya GOBA. Pia Ina Banda lenye Chumba kimoja. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.