Details
Description
Hii ni nyumba nzuri kubwa,ya kisasa na ambayo umiliki wake ni HATI MILIKI (Title Deed) ya Wizara. Ipo jirani na KIWANDA CHA DANGOTE, MTWARA MJINI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,248. Kuna pande mbili zinazojitegemea. Kila upande unajitosheleza kwa kila kitu. ambapo kuna: Vyumba 2 (Masta 1) Sebule, Jiko, Choo cha Familia ndani na Store. Parking ipo na Eneo ni kubwa na tulivu. _____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ____mpg