Details
Description
Hii ni nyumba nzuri mpya na ya kisasa. Ipo GOBA MATOSA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,300. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg Vyumba 3 (Masta 1) Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Pia kuna Servant's Quarter ya Chumba kimoja Masta. Mtaa tulivu na mazingira mazuri.