Details
Description
NYUMBA INAUZWA MAHINA -ina Fremu tisa (9) za maduka -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 708 -ina hati miliki safi mkononi -bei ni Tsh Mil 80 ( maongezi yapo ) -Kiwanja kimebaki nafasi kubwa unaeza kujenga nyumba ya kuishi, apartment, fremu za maduka n.k NB: Fremu zote zinawapangaji *call/sms/whatsapp 0743220097