Details
Description
Hii ni Bei ya dharula. Wanasema kimfaacho mtu chake. Hii ni nyumba ya kisasa katika Kiwanja chenye ukubwa wa SQM.400. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Na imejengwa mfumo wa APARTMENTS. UPANDE 1: Kuna upande wa Vyumba 2 (Masta 1) Sebule,Jiko na Choo cha Familia. Pia kuna Masta 1 kali, Sebule na Jiko lake na Mata 1. Huku kuna Parking ya Gari 2 ndani. UPANDE 2: Huku kuna upande wenye vyumba 2 ( Masta 1) Sebule na Jiko lake. __ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona Tshs.50000. __mpg