Details
Description
Hii nyumba inahitaji umaliziaji ujenzi. Ipo MBONDOLE, MSONGOLA Jirani na Garden Hall. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg