Details
Description
NYUMBA INAPANGISHWA ISAMILO -ina vyumba vinne vya kulala, kimoja ni masterbed room, sitting room, dinning room, jiko, stoo, public toilet na car parking (5-15) -bei Tsh Mil 1.5 kwa mwezi -maongezi yapo -malipo ni miezi sita (6) -ipo nyumba moja ndani ya fensi *simu:- 0743220097