Details
Description
NYUMBA INAPANGISHWA BUSWELU -ina vyumba vinne vya kulala, kimoja ni masterbed room, jiko, dinning room, sebule, stoo na public toilet ya ndani na njee -nyumba ina resrve water tank mbili -ina fremu tatu za maduka na chumba cha jenereta -umeme na maji vipo -kodi ni miezi 6 NB:- Ipo nyumba moja ndani ya fensi -call/sms/whatsapp 0743220097