06.08.2022Dar es Salaam

1master and seating room ubung

TZS 180 000

Details

Terms
6 Months in advance
Price per square unit
Yes
Square units
500 acreas

Description

NI APARTMENT NZURI SANA YA KUPANGA IPO UBUNGO KIBANGU JUU KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4 AU 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA SIFA ZAKE ######## NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA CHOO NDAN PUBLIC TOILET INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI INA TILES GYPSUM DRISHA SHATA MAZURI SANA YENYE HEWA KAMA UNAVYOYAONA MWENYEWE UMBALI KM 1,7 KUTOKA MENROD UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA BARUTI KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO BAJAJI 700

Dalali M. Y.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam