22.09.2022Dar es Salaam

Punguzo kubwa la bei

TZS 24 000

Description

Tunatengeneza bati zenye madini ya aluminum na zinc hivyo hayapauki wala kupata kutu pia tuna warranty hadi ya miaka 12.. Kwa wateja wetu wa mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.. Tuna bati aina zote migongo mikubwa kwa midogo bei.. Misumari pamoja, valley na kofia... Karibu kiwandani ujichagulie rangi uipendayo au nipigie 0656428281 au 0787502450

User

Location

Dar es Salaam