20.09.2022Dar es Salaam

METAL SMART DOORS

TZS 750 000

Description

Tunauza milango ya chuma,imara yenye ubora wa Hali ya juu,utakaokuhakikishia usalama wa nyumba yako.Na muonekano mzuri wa jengo lako,Ni mlango wa chuma complete na fremu yake ya chuma.Milango yetu ipo size zifuatazo,SINGLE 250 urefu na upana 96.DOUBLE size 250 urefu na upana 120.Pia mteja anaweza kutengenezewa size ya mlango anaouhitaji yeye mwenyewe.Bei ya mlango single ni laki 750000 na double Ni laki 950000.Pia milango yetu inakuja na kitasa imara na kigumu chenye lock tatu JUU,KATI NA CHINI.

Amir m.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam