19.09.2022Dar es Salaam

Xerox 7830 Photocopy

TZS 1 800 000

Description

mashine ni used kutoka ujerumani ni imara na zenye ubora zaidi pia tunao mafundi walio bobea katika fani ya office machine ..machine hii ni ya rangi ina uwezo wa ku print copy 55 kwa dakika pia ina uwezo wa kugeuza karatasi ( ADF) , ina scan , ina pia wa kupitisha karatasi ngumu hadi gram 300 , ina tray 5 pamoja na bypass , ina ethernet port na usb port , mashine ni ya rangi na ni rahisi kutumia mikoani pia tuna tuma mizigo

Dshop Printer’s Tz

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam