14.04.2022Tanzania, Dar es Salaam

Printer maintenance

TZS 60 000

Description

Tunayo furaha kukuhudumia mteja wetu makini na ulietuamini ,uaminifu ndio silaha ya kazi yetu ,tunatengeneza printer pamoja na photocopy (Epson master), Note: kwa wale walioamini Kama Epson zao zishashindikana na bado wanazihitaji basi amini tunauwezo wakurudisha mashine yako kwenye ubora wake, kwa mahitaji ya huduma zetu ,tupigie simu au tuma sms(whatsap) #Fundi #printerrepair #printerservices #epsonprinter #Epson #Hp #Canon

Jamal s. C.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam