22.11.2022Dar es Salaam

Kibanda

TZS 400 000

Description

Nauza Kibanda, kinaukubwa wa (4x4)Ft, kimezungushiwa Marine board kwa ndani kukifanya kiwe imara zaidi na kupunguza joto, kimefanyiwa wiring ya umeme, kimeezekwa kwa bati zuri la kisasa. Mawasiliano 0717944092

Mnzava S.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam