Condition:
NEW
Description
-Wireless charger za kisasa . -Inachaji simu zote zinazosupport wireless charging. -Unaweza kuchaji simu kwa kuisimamisha (potrait) au kuilaza (Landscape). -Zipo nyeupe na nyeusi, wahi zipo chache. ... 1. Dar unafuata mwenyewe Osterbay (Piga simu kupata maelekezo) au unaletewa kwa gharama zako. 2. Mikoani tunatuma 5,000 unapewa risiti ya basi, malipo kabla. ... Bei haipungui zaidi, pia hatufanyi exchange wala top-up!.