Quantcast
English
Post your ad
5

A/C ZA MAGARI

30,000 TZS
Dar es Salaam | 20/03/2020
njia sahihi ya jinsi ya kutunza na kuboresha utendaji wa mfumo wa a/c wa gari lako.
1.washa a/c yako mara moja kwa wiki kwa
2.fanya usafi wa filter ya a/c mara kwa mara
-itasaidia kulinda afya ya mtumiaji
-pili inalinda evaporator kuoza kutokana na uchafu
3.safisha condenser ya gari lako mara kwa mara
4.hakikisha unaongeza oil ya compressor kila baada ya miaka miwili
5.kwa full service za uhakika kwenye mfumo wa a/c wa gari lako unaeza kututembelea ofisini kwetu au piga 0653927253.

Contact seller

Goodluck Mrema Individual 1 active ad – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map