Quantcast
English
Post your ad

CAR TRACKING SYSTEM INSTALLATION

300,000 TZS
Dar es Salaam | 30/01/2019
huduma ya ufungaji wa GPS katika magari na malori makubwa.
Unaweza kutrack sehemu lilipo gari, kuzidisha mwendo, sauti kubwa. Unaweza kuzima gari popote lilipo kwa kutumia simu yako.
Vifaa vyetu vimethibitishwa na mamlaka ya mawasiliano (TCRA) na vina ubora wa kuweza kudumu hadi miaka mitano.
Vifaa hivi ni vizuri kwa gari kama za UBER, TAXIFY, MOOVIN, TAXI za kawaida, Mabasi ya mikoani, Gari za makampuni, Malori ya mizigo na mitambo mbalimbali.
Bei yetu ni nafuu sana ikijumuishwa pamoja na ufungaji wa vifaa hivyo vyenye ubora mzuri na vinavyodumu pia vinafanya kazi iliyokusudiwa.
Tuna uwezo wa kufunga katika fleet kubwa bila kupoteza muda mwingi.
Tuna offer pia kwa wanaoagiza magari kupitia kampuni yetu tunawafungia bure kabisa GPS, kwa gari za biashara.
Tupigie 0222181585 0r 0689265275

Contact seller

DowntownTechnologies Company 22 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map