Quantcast
English
Post your ad

TIBA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA UPASUAJI.

Check with seller
Dar es Salaam | 10/03/2020
uvimbe kwenye kizazi (fibroids), je kuna tiba ya fibroids??uvimbe kwenye kizazi(fibroids) ni tatizo kubwa na linawatokea wanawake wengi sana. inakadiriwa kwamba 75% ya wanawake hupata tatizo hili la fibroids katika kipindi flani cha maisha yao.fibroids ni nini?fibroids ni uvimbe usio wa saratani ambao hujitokeza kwenye kuta za mfuko wa mimba, uitwao uterusi, uvimbe huu husababisha kubadilika kwa shape na size ya kizazi na pia dalili zingine mbaya. wanawake wengi huanza kupata maumivu makali wakati wa hedhi kutokana na uwepo wa uvimbe kwenye kizazi(fibroids . ni jambo la msingi zaidi kwa wanawake wote kuchukua hatua katika kuzuia kutokea kwa fibroids.unajuaje kama tayari una uvimbe kwenye kizazi (fibroids)je fibroids inaweza kusababisha kuvuja damu, maumivu ya mgongo na dalili zingine mbaya? inawezekana kabisa lakini siyo kila mwanamke mwenye fibroids hupata dalili hizi, lakini pia uwepo wa dalili hizi siyo lazima kwmba una fibroids, unaweza kuwa na tatizo lingine la kiafya, ushauri mzuri ni kuonana na dactari haraka ili kupata vipimo. zifuatazo ni dalili zinazojitokeza kwa wanawake wengi zaidi wenye uvimbe kwenye kizazikupata hedhi inayochukua siku nyingi kuanzia 7 na zaidihedhi nzitokujiskia umeshiba mda mwingimaumivu ya nyongakupata mkojo mara kwa mara na kushindwa kutoa mkojo wote kwenye kibofu.kukosa choo kwa muda mrefu au kupata choo kigumukupata maumivu wakati watendo la ndoamaumivu chini ya mgongo na kwenye miguu.madhara mablimbali ya uzazi kama ugumba na mimba kutokavihatarishi gani vinaongeza uwezekano wa kupata fibroids: dalili zifuatazo zinaongeza uwezekano kwa mwanamke kupata uvimbe kwenye kizazikurithi: kama mama au dada yako aliwahi kuugua tatizo hili basi wewe pia utakuwa kwenye hatari zaidi ya kupata uvimbe huu.umri: uvimbe kwenye kizazi (fibroids) hutokea zaidi kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedhi kuanzia miaka 35 mpaka 40.lishe: matumizi ya vyakula vya wanga na sukari kupita kiasi huongeza hatari ya kupata fibroidsuzito mkubwa na kitambi: wanawake wenye uzito mkubwa na kitambi wako kwenye hatari zaidi ya kupata fibroids .wanawake wenye shinikio kubwa la damumatumizi ya njia za kupanga uzazi: kama vidonge huongeza ukuaji wa fibroids kwani vidonge hivi huweza kupandisha homoni ya estrogen kwa wingikubalehe mapema: wanawake wanaobalehe mapema na kuanza kupata hedhi chini ya miaka 10 wako kwenye hatari zaidi ya kuugua fibroids. na piawenye matatizo ya tezi ya thairodimuhimu kwa wagonjwa wa fibroidskwa mwanamke mwenye uvimbe kwenye kizazi(fibroids), tunashauri atumie soybean, broken ganoderma na soy isoflavones na vitamin e, kusafisha kizazi na kurekebisha homoni zake. dawa hizi zimetengenezwa kitaalamu kwa kuzingatia uasili wa dawa kutatua changamoto za wanawake kama vimbe, maambukizi ya bacteria, pid na kuziba kwa mirija ya uzazi bila upasuaji.kupata bidhaa hizi na nyingine nzuri wasiliana nasi kwa namba 0718069047/0688184620, mnazi mmoja mawasiliano 0718079047/0688184620.pia tuna ofa ya vipimo vya mwili mzima kwa tsh 15,000.tuu.

Contact seller

Jacob Individual 10 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map