Quantcast
English
Post your ad

TIBA YA MGOLO/HEMORRHOIDS/ BAWASIRI BILA UPASUAJI.

Check with seller
Dar es Salaam | 25/03/2020
fahamu ugonjwa hatari wabawasiri aukuota kinyama sehemu ya hajakubwa na namna ya kuepuka naugonjwa huu.~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hiliambalo huwafanya kuwa na uoga na aibuwa kuelezea na kushindwa hata kwendahospital kupata tibaje, unajua bawasiri/hemorrhoids ninini????!!~ni ugonjwa unaotokana na kuathirikakwa mishipa ya damu ya ndani na nnje yasehemu ya haja kubwa na wakatimwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia yahaja kubwa na kasababisha kutokakinyama au uvimbe~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha yakitaalamu tunauita hemorrhoids ilhalikwa lugha ya kingereza unafahamika kamapiles~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidihuwaathiri watu wazima kuliko watoto nainakadiriwa kuwa karibu 50%ya watuwote wako katika hatari ya kupata tatizohili katika umri wa miaka 30_50aina za bawasiri~kuna aina mbili za bawasiri(a) bawasiri ya ndani~aina hii ya bawasiri hutokea ndani yamfereji wa haja kubwa huwa haiambatanina maumivu na wengi huwa hawajitambuikuwa wana tatizo hili~aina hii hutokana na kuvimba nakuharibika kwa mshipa wa artery za ndaniya mfereji wa haja kubwa~aina hii imegawanyika katika madarajamanne(1)daraja la kwanza ~hii ni bawasiriambayo haitoki mahal pale panapohusika(2)daraja la pili ~hii hutokea wakati wahaja na kurudi yenyew ndani baada yakujisaidia(3)daraja la tatu :hii hutokea wakatiwa haja kubwa na mtu kuweza kurudishandani yeye mwenywe(4)daraja la nne :hii ni bawasiriinayotoka na huwa ngumu kurudi(b)bawasiri ya nnje~aina hii ya bawasiri hutokea katika eneola mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwana huambatana na maumivu makali nakuwashwa kwa ngozi katika eneo la tunduhilo pia husababisha mishipa ya damu(vena) kupasuka na damu kuganda nakasababisha aina ya bawasiri iitwayothrombosed hemorrhoidschanzo cha tatizo~chanzo halisi cha ugonjwa huuhakijapatikana ila kuna vitu ambavyohuwa chanzo cha kupata ugonjwa wabawasiri ambayo ni ÷kufanya mapenzi kinyume namaumbilekuharisha kwa muda mrefutatizo la kutopata choomatatizo ya umrikukaa kitako kwa muda mrefuuzito kupita kiasimatumizi ya vyoo vya kukaa kwamuda mrefudalili za bawasiringozi kuwasha katika eneo la tundu lahaja kubwakupata maumivu makali wakati wakujisaidiakutokea uvimbe katika eneo la tundula haja kubwakujitokeza kwa kinyama katika eneo latundu hilokinyesi kuwa na damu na kunukaharufu mbaya sanamatibabu na jinsi ya kuepuka tatizola bawasiri~matibabu ya bawasiri hutegemea naaina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka nikukatwa kinyama na kuendelea na lisheya chakula hata hvyo tiba hii si nzurikwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizohivyo huwa rahisi kujirudia~pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwaunaoweza kuepukika kwa kuzingatiakula mbogamboga za majani,matunda, na nafaka zszokobolewakunywa maji mengi angalaugrass 6/12 kwa sikuepuka kukaa chooni kwa mudamrefumadhara ya tatizo la bawasirikupata upungufu wa damu (anemia)kupata tatizo la kutokuweza kuhimilchoohupunguza nguvu za kiume nakuondoa hamu ya tendo la ndoa kwawanawakekuathirika kisaikolojiakukosa moral ya kufanya kaz kutokanana maumivu makali.kwa tiba na kinga ya bawasiri;-tunatibalishe zinaitwa, aloe capsule,ganoderma,spirulina na white tea tooth paste.hizi tibalishe zina nguvu na uwezo mkubwasana wa kutibu na kuondoa kabisa tatizola ugonjwa wa bawasiri,dawa ya hizi zinatibu na kuondoa hilitatizo ndani ya siku ( 3 )dozi kamili ya tibalishe hizi ni siku ( 7 )tudawa inatibu na kukinga hilo tatizokutojirudia tena. pia inakinga kutopata hilitatizo kwa wale ambao hawajapatwa nahili tatizo. pia tunatoa huduma ya upimaji wa mwili mzima(full body check up)kwa tsh 15,000 tumawasiliano;06881846200718069047.# mahali tulipo;mnazi mmoja dar essalaam.

Contact seller

Jacob Individual 19 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map