Quantcast
English
Post your ad
2

MADHARA UZITO KUPITA KIASI.

90,000 TZS
Dar es Salaam | 10/03/2020
punguza unene na epuka maradhi mbalimbali katika maisha yako; #kumbuka_maisha_ni_matamu_ukiwa_huna_ maradhi.06881846200718069047fahamu #maradhi unayoiweza kupata kutokana na #unene/ #uzito_kupita_kiasi.o kisukario shinikizo la damu (hypertension)o kiharusi (stroke)o magonjwa ya moyoo tatizo la kutopumua vizuri wakati mtu yupo usingizini o vijiwe katika mfuko wa nyongo (gallstones)o kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu (cholesterol)o ugonjwa wa mifupa kama yabisi (osteoarthritis).o saratani ya matitio saratani ya tezi dume (prostate cancer)o saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa (colorectal cancer)o matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu kama vile kuvimba kwa vena za miguuni (varicose veins)o pumuo bawasirina vilevile mishipa ya vena ikivimba na ikapasuka unaweza kupata tatizo la hemorrhoids au bawasiri au mgoro.wanawake ambao wana uzito wa kupitiliza wakiwa wajawazito wako kwenye hatari kubwa ya kupata madhara yafuatayo;-• kupata kisukari cha mimba; kisukari hiki kinatokea wakati wa ujauzito na hupote baada ya kujifungua mtoto.• shinikizo la damu wakati wa ujauzito pamoja na kifafa cha mimba • kuzaa kwa njia ya upasuaji • tatizo la kiumbe kutopata hewa vizuri wakati wa ujauzito#kikubwa rekebisha mipangalio yako ya vyakula kwani kuwa na mpangilio mbovu wa kula husababisha tatizo hili jiepushe na vyakula vyenye mafuta ya viwandani, kuku wa madawa, broila, epuka kunywa vinywaji kama soda, juice za viwandani,maji ya baridi, punguza kula vitu vyenye sukari kwa wingi, ulaji wa chakula na maji kwa pamojapendelea kutumia vitu vya asili kama mboga za majani,matunda pia fanya mazoezi ya aina mbali mbali na uwe na balance diet.pia ninpende kukujulisha kuwa kwa wewe ambaye tayari una tatzo la unene/uzito, kitambi/tumbo kubwa suluhisho lipo; #program_ya_. antilipemic tea &slimming tea dose kamili ni tsh 90,000. ina virutubisho vya kukusaidia.pia tunatoa huduma za vipimo vya mwili mzima(full body check up) kwa tsh 15,000..kwa ushauri na huduma tupigie kwa no zifuatazo:- 255 688184620 255 718069047call no0688184620#kumbuka: kwa na dsm derivery ni free; mikoa mingine tutakupa utaratibu wa kununua mwenyewe au kutumiwa kwenye basi.

Contact seller

Jacob Individual 19 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map