Quantcast
English
Post your ad

Chanzo,Dalili Na Tiba Ya Tezi Dume Bila Upasuaji.

Check with seller
Dar es Salaam | 25/03/2020
#unaelewa nini kuhusu tezi dume?..., je unajua kati ya wanaume 100 wenye umri wa miaka 40 na kuendelea wana tatizo la kansa ya tezi dume (bph) ....tezi dume ni nini?❇ na kansa ya tezi dume ni nini?⏯tezi dume(prostrate gland) ni tezi lililopo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume ambalo kazi yake ni kutengeneza majimaji(semeni) ambayo ndio huwa chakula cha sperm(mbegu za kiume) ila pia ndio huzifanya mbegu hizi ziweze kuogelea hadi kwenye viwanda vya mayai ya kike na kurutubisha.tezi hili huwa linaunganisha kati ya kibofu cha mkojo na uume pia limeizunguka njia ya mkojo(urethra) hivyo mwanaume anapokuwa mtu mzima tezi hili huvimba hivyo huibana njia ya mkojo: #zifuatazo ni dalili za tezi dume kwa mwanaume1: kwenda kukojoa mara nyingi sana hasa mida ya usiku mara sita hadi saba 2: kushindwa kujizuia kukojoa3: kuto****liza mkojo na wakati mwingine mkojo kubaki hwenye suruali bila kujua4: kukojoa kwa shida5: kushindwa kurusha mkojo(kukojoa kwa matone matone)#je kuna suluhisho:njia za kawaida za kutatua tatizo hilo ni mbili hospital ambapo utafanyiwa upasuaji au kupewa madawa njia hizi zote zinaweza kukufanya uwe na upungufu wa nguvu za kiume au tezi likarudi tena kwani watu wengi hata baada ya upasuaji kansa hivyo ya tezi dume ilirudi tena#ipo njia bora zaidi ya kuondoa bila upasuajivirutubisho vya asili vinakukinga na kukusaidia kuondokana na tezi dume bila upasuaji wala madhara ya kemikali kwani ni virutubisho vya asili,aloe capsule,fish oil,spirulina,broken ganoderma,gingko tea,propolis,virutubisho hivi vinasaidia kuondokana na tezi dume na kuongeza nguvu za kiume kwa pamoja.wasiliana nasi kwa: call/ sms 0718069047 vituo vyetu vya afya vipo dar es salaam sehem mbalimbali na tuna huduma ya vipimo vya magonjwa yote ya mwili (full body checkup) na ushari nasaha kwa gaharama ya sh.15,000/=

Contact seller

Jacob Individual 19 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map