Quantcast
English
Post your ad

AFYA YANGU, MTAJI WANGU.

15,000 TZS
Dar es Salaam | 25/03/2020
#habari wapendwa? unachokiona hapo nikipimo cha full body check up, ( yan kipimo cha mwili mzima.) utapimwa kwa gharama ya tsh 15,000 tuu. ambacho ndio tunatumia kupimia watu wote kwenye hospital yetu ya ipo eneo la dar mnazi mmoja karibu na kituo cha bus zinazoenda gongo la mboto,tandika na mwanagati,mda kuanzia saa tatu asbh to saa 11 jion. ewe kijana, ewe mama, baba, na wazee njooni kwa wingi mfanye check up ya miili yenu,na dawa zipo, usingoje kuzidiwa njoo ujue afya yako kwa ujumla na upate tiba ,usiogope utaongea na daktari vizuri sana utamueleza kile kinacho kusibu atakusaidia achana na maneno ya watu wapo wanaosema nitapima mpaka niumwe huyo mtu achana naye usije ukazidiwa fanya maamuzi mwenyewe ukiridhia wewe kama wewe njoo upimwe kwa gharama nafuu kabsa tupigie simu [hidden information] / [hidden information] maisha ni ya kwako sio ya mtu msione watu wanakufa gafla magonjwa tunatembea nayo bila kujijua afya zetu wengi wanajiamin kuwa hawaumwi lakini kumbuka tunakula vyakula vingi ambavyo hatujavitengeneza sisi vingine vina ma chemical vingine mafuta vyote huleta athari mwilini kuja kujua tatizo sio leo jaman naomba sana tujue afya zetu njoon wote,mtaandikisha,mtashauriwa, mtamuona daktari na mtapimwa na kupatiwa majibu papo kwa hapo elf kumi na tano (15,000)yako tuu mpendwa karibu sana.mawasiliano 0718069047/0688184620.

Contact seller

Jacob Individual 19 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map