Quantcast
English
Post your ad
4

FREMU ZINAPANGISHWA KIBAHA VIWANDANI

80 TZS
Pwani | 18/06/2019

Details

TypeFor rent
Property typeBUSINESS
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0

Other characteristics

 • New
 • By Owner
Fremu zipo mahali pazuri sana. Kwanza ni njia panda ya kwenda viwandani na makazi. Halafu ni karibu sana na soko kuu la Picha ya ndege ambako kuna mnada kila Alhamisi.

Fremu zinafaa kwa maduka, saluni, grocery, Hardware, duka la dawa au upendavyo wewe mradi biashara iwe halali.

Eneo hili kumekucha. Makazi mengi yanajengwa haraka haraka kwa sababu ya viwanda, hivyo wenye kuwahi kufungua biashara ndio wenye kuwahi kuwateka wateja. Umeme maji vimeunganishwa tayari, wewe ni kuingia tu.

Fremu zipo Kibaha, jirani na viwanda vya Wachina na Makazi ya wananchi Lulanzi-Matunda.

Baadhi ya Fremu zimeezekwa na zina mageti. Zinahitaji tu kumalizia rangi. Mteja anaweza kuchagua kumalizia mwenyewe na kukatana kwenye kodi au kulipia kabisa kisha inamaliziwa rangi na kuhamia.

Fremu kubwa ya hardware au Pharmacy haijaezekwa.

Njoo uzione mwenyewe, tujadiliane bei kwani hazina udalali.

Simu 0718 0115 077. Whatsapp 0754 34 92 81

Contact seller

Dennis Moyo Consultant Individual 4 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map