Quantcast
English
Post your ad

Flem Za Biashara

6,000,000 TZS
Dar es Salaam | 10/12/2019

Details

TypeFor rent
Property typeBUSINESS
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0

Other characteristics

 • By Owner
nina flem za biashara zipo mbili ila bado hazijaanza kufanya kazi naziweka bond nahitaji milioni 6 naruhusu ufanye biashara kwa miaka 2 bila kulipa kodi kisha utanirudishia flem zangu baada ya hiyo miaka miwili.flem zipo mbagala vikindu kijiji cha kazole. zipo barabarani na watu wanaziulizia kila wakati ila bado hazijawekwa mageti. ni eneo linalofaa kwa kuweka biashara yoyote mfano duka la hardware, saloon, duka la dawa, ushonaji, duka la nafaka, n.k. usafiri wa daladala upo mpaka hapo pia umeme umefika ila barabara kuu ya serikali. kutoka hapo barabarani mpaka hapo flem zilipo ni nguzo mbili tu za umeme tayari unakuwa na umeme. kwa mawasiliano namba zangu ni 0714-257594 /0784-774134.

Contact seller

Marco Massawe Individual 1 active ad – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map