Quantcast
English
Post your ad
10

Duka la nguo za Harusi linauzwa (Umiliki)

5,000,000 TZS
Dar es Salaam | 10/01/2018

Details

TypeFor sale
Property typeBUSINESS
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
StatusGood condition
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0

Other characteristics

 • Parking
Duka la nguo za Harusi na Send off linauzwa(unauziwa umiliki) kwa SH. 5M (Maongezi yapo). Unakabidhiwa duka kama lilivyo wewe ni kuliendeleza tu, kuna magauni 20, kabati la display, display board, midoli miwili ya kuvalishia nguo, vyuma vya kuning'inizia na utaunganishwa na supplier wa nguo ukihitaji. Pia kwa nje kuna eneo kubwa la kuweka biashara nyingine wewe ni kulipa kodi tu kwa mwenyenyumba.
lipo Dar es Salaam, Kigogo First inn barabarani (lina miaka miwili hapo linafahamika na wateja uhakika).
Mwenyenalo amehamishwa kikazi nje ya Dar.

Kwa maelezo zaidi piga: 0759304144/0658304144

Contact seller

Mathew Mwinuka Individual 2 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map