Quantcast
English
Post your ad
8

VIWANJA VINAUZWA-GEZAULOLE KIGAMBONI

22,000 TZS
Dar es Salaam | 30/01/2019

Details

TypeFor sale
Property typePLOT-RESIDENTIAL
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
StatusNew construction
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0
Viwanja vya makazi vinauzwa Kigamboni Gezaulole. Viwanja vipo eneo zuri sana na jirani pameanza kuendelezwa nyumba za kisasa.

Vipo umbali wa kilometa 15 kutoka Ferry na mita 700 kutoka barabara ya lami (unaweza kutembea kutoka barabara ya lami hadi kwenye viwanja).

Viwanja ni vya makazi,vimepimwa vikiwa na ukubwa tofauti (tuna size ya kati sqm1265, sqm1315, sqm 1279, sqm 1173) pia tuna viwanja vikubwa kiasi (sqm 1880, sqm 2138, sqm 2360, sqm 1968, sqm 2347 n.k) kumbuka utakaponunua kiwanja ofisi yetu itafuatilia hati yako wizarani.

Bei kwa kila square metre (sqm) ni Tsh.22,000. Malipo yetu ni kwa mkupuo au kwa awamu kwa muda wa miezi 6.

Wasiliana nasi ukihitaji kutembelea mradi wetu kuona viwanja kwa kupiga simu/SMS/Watsapp kupitia namba 0759 346 679.

"Karibu tukuhudumie ujipatie kiwanja cha ndoto yako kwenye eneo lililopangika vizuri"

Contact seller

Orbit Developers Ltd Company 1 active ad – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map