Quantcast
English
Post your ad
8

SHAMBA LA ZIWANI LINAUZWA

200,000,000 TZS
Mwanza | 09/05/2019

Details

TypeFor sale
Property typeFARMING LAND
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
StatusGood condition
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0
Shamba la ziwani ekari 12 liko Lukobe karibu na Nyamikoma, kwenye barabara kuu ya Mwanza - Musoma ½km kutoka barabara kuu ya lami. Shamba linaanzia ziwani na liliandaliwa kulimwa mpunga wa umwagiliaji. Lina pampu kubwa na miundombinu ya mabomba ya inch 4 (double). Kuna mazao yanayovunwa muda wote (passion fruit na papai). Pia kuna migomba, milimao, minazi na mihogo. Kuna nyumba ya wafanyakazi ya vyumba 2 na sebule. Panafaa kwa kilimo, kujenga hoteli ya kitalii, camp n.k. Maelewano ya bei pia yapo.

Contact seller

Juma Salim Individual 1 active ad – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map