Quantcast
English
Post your ad
7

MRADI WA UUZAJI WA VIWANJA Changwahela Mapinga Bagamoyo

13,000,000 TZS
Pwani | 27/07/2019

Details

Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
Square Meters1000
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0
MRADI WA VIWANJA HIVI UPO CHANGWAHELA-MAPINGA BAGAMOYO.
Vipo umbali wa 3km toka Mapinga shule ,4km toka kiwanda cha Hill water,8km toka Bunju B Dar es salaam,vipo karibu na Beach kwa wastani wa 1km.

Miundombinu ya umeme na maji ipo karibu,Ardhi ni tambarare yenye kichanga na upepo maridhawa toka Bahari ya Hindi.

Bei ni Tsh. 13,000,000/=
Ukubwa ni mita za mraba 1000 kwa wastani wa Tsh. 13,000 kwa mita 1 ya mraba

Bei hii ni pamoja na kuandaliwa Hati miliki ya kiserikali.
Piga sasa:0755 802 121

Contact seller

Barea Tanzania Individual 11 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map