Quantcast
English
Post your ad
3

KIWANJA NA APARTMENT KINAUZWA TABATA

52,000,000 TZS
Dar es Salaam | 08/02/2019

Details

Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0

Other characteristics

 • Parking
 • New
 • By Owner
Parking
New
By Owner

KIWANJA KINA APARTMENT YA VYUMBA 2 YENYE SELF CONTAINER YENYE MAJI NA UMEME TAYARI KWA KUISHI

(SQUARE MITA 861)

GARI INAFIKA VIZURI SANA DK 3 KUTOKA BARABARA KUU

KIPO KWENYE MAZINGIRA MAZURI SANA
PAMEZUNGUKWA NA NYUMBA ZA GHOLOFA PAZURI SANA.

KIWANJA KINA MCHANGA WAKUTOSHA KWA UJENZI WOWOTE NI WEWE FUNDI NA CEMENT YAKO TU MAJI YAPO TAYARI.

KIWANJA KINA ENEO KUBWA SANA LINATOSHA KWA UJENZI WOWOTE.

KUNA TOFALI ZA KUANZIA UJENZI WOWOTE TAYARI.

KIPO TABATA KINYEREZI.

KAMA UNAPENDA MAENEO TULIVU YENYE ESHMA ZAKE HAPA NDIO PENYEWE SASA PAMEZUNGUKWA NA WATU WENYE ELIMU ZAO NA MAENDELEO YAKUTOSHA KARIBU SANA.

NOTE:
HAKUNA DALALI

PIGA 0717 59 42 59

Contact seller

Danny Victor Individual 7 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map