Quantcast
English
Post your ad
3

KIWANJA DODOMA KINAUZWA

1,500,000 TZS
Dodoma | 14/05/2019

Details

TypeFor sale
Property typeFARMING LAND
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0
Kiwanja kinapatikana DODOMA TANZANIA Wilaya ya Dodoma mjini maeneo ya NALANI KIWANJA KILICHO PIMWA NA KUWA NA KIBALI CHA INVOICE CHA UMELIKI HALALI KUTOKA MANISPAA YA DODOMA BILA KUWA NA MGOGORO WOWOTE ULEKATIKA RAMANI NI MAENEO YA BIASHARA NA VIKO BARABARANI KABISA KATIKA PANDE ZOTE MBILI NA NI MAENEO AMBAYO YAMESHA PANGILIWA TAYARIKWA MNUNUZI ANAE NUNUA HAPA NI SEHEMU NZURI KWA BEI RAHISI NA SEHEMU NZURI KWA MTU MWENYE MIPANGO YA UJENZI KWA MIAKA 2 AU 3 BAADAE KWASABABU BADO HAPAJA ENDELEA ILA PAMESHA PIMWA NA WATU KUKABIDHIWAViwanja viko vilwili kila kimoja ni million 1 na nusu KILA KIMOJA KINA UKUBWA WA SQUARE METRE 600Na nakuhakikishia ni maeneo ya biashara sana hapo baadae changamka leo kwa bei chee kwasababu ndani ya miaka hii miwili na kwa ramani ha huku vutakua na bei sanaKIWANJA KINA PATIKANA MAENEO YA NALA UNAENDA MBELE YA MIZANI KAMA KM1 KUNA KIBAO CHA SHULE UPANDE WA KULIA KWA MAANDISHI YA BLUE SHULE INAITWA BEN CARSON UNAINGIA KWENYE IYO BARABARA...BAADA YA HAPO UNAINGIA NDANI KAMA KILOMITA 1 NA NUSU NDO VIWANJA VILIPO HAKUNA UDANGANYIFU WALA KUKUPOTEZEA MUDAViko viwili na kila kimoja ni million 1 na nusu vyote vimepimwaRamani yake ya mipango miji ipo kama ukihitaji na nakuhakikishia ni maeneo ya biashara sana kwa hapo baadae

Contact seller

Kelvin Individual 58 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map