Quantcast
English
Post your ad

EKARI MBILI NALA KWA MILIONI 1.4 TU(SOMA SIFA ZAKE HAPA)

1,400,000 TZS
Dodoma | 28/01/2019

Details

TypeFor sale
Property typePLOT-RESIDENTIAL
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
StatusNew construction
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0
*KWELI UNAKOSA LAKI 7 TU YA KUNUNUA ENEO HILI*?##DODOMA NA ARDHI
▶Kwanza bei yake ni laki 7 Tu kwa ekari moja(4032 square metres)

▶Eneo liko karibu na fursa hizi
1.Eneo jipya la tawi la chuo cha IFM
2.Eneo jipya la tawi la chuo cha mipango
3.Eneo jipya la tawi la chuo cha st.John
4.Eneo ambapo watumishi wa JWTZ&JKT watajengewa makazi
5.Eneo.la waziri mkuu(mh.majaliwa kasim,ekari 80)

▶Matumizi ya eneo ni kulingana na matakwa ya mnunuzi.unaweza weka makazi,taasisi ama biashara

▶Pia unaweza fanya kilimo kwani eneo lina udongo wenye rutuba(Arable Land).

▶Water table ipo karibu,hivyo ni rahisi sana hasa kwa uchimbaji wa kisima.Kazi kwako

▶Eneo liko Dodoma mjini,Nala-sehemu iitwayo Lugala.Umbali wa kilomita 26 tu toka town centre(ikulu iko kilomita 30,je wapi ni mbali???)

Ziko ekari 02 tu bei 1.4M

+255622111186(whatsap)
+255767833496

Contact seller

steven masaka Individual 112 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map