Quantcast
English
Post your ad

EKARI 50 ZINAUZWA NALA DODOMA

30,000,000 TZS
Dodoma | 10/03/2019

Details

TypeFor sale
Property typeHOUSE
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
StatusNew construction
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0
EKARI 50 ZINAUZWA NALA-LUGALA DODOMA

MAHALI ; NALA-LUGALA
--------------------------------
UMBALI TOKA CITY CENTRE ; 28KM(17Km toka city mpaka barabara ya lami ya singida kabla hujachepuka ya vumbi.Ya vumbi ni 11km mpaka kufika kwenye eneo)
--------------------------------

UKUBWA WA ENEO :- ekari 50
--------------------------------
SIFA ZA ENEO;- zuri na tambarare
- Liko karibu na maeneo ya vyuo vya IFM,mipango,st.John na Suma JKT ambako watawajengea wafanyakazi wa JKT&JWTZ makazi+huduma za kijamii kama mashule,n.k

----------------------------------
MATUMIZI
1.linafaa kwa kilimo kwani udongo wake ni mchanganyiko wa mfinyazi na tifu tifu.pia water table iko karibu-hivyo rahisi kwa uchimbaji wa visima
2.Unaweza nunua ukasubiri mwaka ama miaka 2 thamani ikapanda ukauza kwa bei ya juu zaidi

3.kutokana na vyuo hivyo tajwa fursa za makazi,kupanga,biashara zitaongezeka kwa miaka ijayo.Hivyo wahi mapema

4.kwa wale wafugaji/wajasiriamali wakubwa panawafaa zaidi

-------------------------------------
BEI; MILIONI 30 TU(FIXED)
--------------------------------------

NB ; GHARAMA ZA KWENDA SITE NI 50,000/= (UKILINUNUA ENEO HIYO PESA UNAIPUNGUZA KWENYE MALIPO).

Contact seller

steven masaka Individual 112 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map