8
Premium
Viwanja Kigamboni Kibada
3,000,000 TZS
Dar es Salaam
Tunauza viwanja vizuri sana Kigamboni Kibada, mji unaopendwa na kukuwa kwa kasi. Hakikisha mwaka usipite bila kumiliki kiwanja kwa bei nafuu. Kwa milion 3 tu unapata kiwanja .Viwanja vimezungukwa na makazi ya watu, huduma kama Umeme, Maji, vipo. Ukubwa wa viwanja tumekata Futi 50 X 40 Milion 3. Futi 50 X 50 Milion 4. Futi 60 X 50 Milion 5 na Kuendelea. Umbali kutoka Ferry kigamboni mpaka kibada stendi ni km 16 na kutokea Kibada road mpaka kwenye viwanja ni km 2. Wote mnakaribishwa. Piga/Whatsaap 0711677199