8
Premium
Tunauza Viwanja Kisemvule Milion 1.2
1,200,000 TZS
Dar es Salaam
Tunauza viwanja Kisemvule kwa milion 1.2 tu. Viwanja ni vizuri sana, vimepimwa na barabara za kuduma za mitaa zipo. Na unaweza kulipia kwa awamu. Wahi ofa hii mapema, viwanja vimebaki vichache, Piga/whatsaap 0711677199.Viwanja hivi vinapatikana KISEMVULE, mbele kidogo ya Vikindu, Kilomita chache tokea Mbagala. Viwanja vimezungukwa na huduma muhimu jirani kama maji, Umeme, Shule, zahanati, soko n.k Ukubwa ni futi 50 X 40, kwa milion 1.2 tu. Unaweza kuunganisha kulingana na uwezo wako. Viwanja haviko mbali kutoka Stendi kubwa ya daladala ya Kisemvule. Kwa maelezo zaidi nipigie/whatsaap 0711677199