Quantcast
English
Post your ad
Please Download our App
4
Premium

Miliki Kiwanja kilichopimwa Kibaha Kwa Mathias Kwa Mkopo.

3,800,000 TZS
Pwani

Details

TypeFor sale
Property typeHOUSE
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
Square Meters0
Square Meters (total)400
Num. Floors0
Floor Number0

Other characteristics

 • Furnished
 • By Owner
Tunauza na kukopesha viwanja vilivyopimwa Kibaha kwa mathias sqm1=13000/ila bei inazungumzika. Viwanja vipo kilomita 1.5,ukitokea barabara kubwa ya lami ya morogoro road.Viwanja vimepimwa kuanzia sqm227>>>>>mpaka sqm847. Bei kuanzia mln2.7,mln3.8,mln4.8,mln5.2,mln6,mln8,na kuendelea kulingana na ukubwa wa kiwanja.Uzuri wa viwanja hivi,huduma muhimu zote zipo,kama,maji,umeme,shule,hospitalina nyumba za ibada.Utaratibu wa mkopo,Mteja anatakiwa alipie 50%iliyobaki utaendelea kulipia kidogokidogo ndani ya miezi3. Akuna malipo yeyote kuja kuangalia viwanja.

Contact seller

The Land Doctor Individual 16 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map

  Premium osclass themes and plugins