Quantcast
English
Post your ad
8

Nyumba Inauzwa Mwananyamala- Makumbusho Millioni 130,000,000/=

130,000,000 TZS
Dar es Salaam | 09/01/2020

Details

TypeFor sale
Property typeHOUSE
Num. Rooms5
Num. Bathrooms3
StatusGood condition
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0

Other characteristics

 • By Owner
nyumba inauzwa mwananyamala- makumbusho. millioni 130,000,000/=

nyumba ipo maeneo ya mwananyamala-sokoni makumbusho, mtaa wa kapungu imepakana na maeneo ya victoria na huku mwananyamala hospital na kinondoni kwa ukaribu.
nyumba ina idadi ya vyumba vitano kimoja n self contained na vinne ndo vya kawaida pia ina sebule na dinning ya kujitosheleza, jiko pamoja na store bafu na choo mbili vya public.
kwa nje kwa mbele kuna eneo la kujitosheleza la kupark magari hadi sita na eneo likabaki pia kwa nyuma kuna eneo la kutosha la kuweza kujenga nyumba nyingine hata ghorofa kuna mabanda ya kufugia pamoja na choo cha nje na eneo la kutosha la kupunga upepo.
nyumba bila kusahau iko ndani ya uzio wake yani (fence) .
documents zote zipo yani hati ya nyumba iliyokamilika.


thamani ya nyumba kuuzwa ni shillingi millioni mia moja na thelathini za kitanzania.
tshs. 130,000,000/=.
ila bei ina maongezi yani maelewano pia yapo.
kwa mawasiliano piga namba
0743-665722


Contact seller

Individual 32 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map